Advertisements

Monday, October 23, 2017

UNAGANA NASI KWA HABARI YA KILA SIKU KUTOKA IDHAA YA KISWAHILI YA UMOJA WA MATAIFA

Kwa wadau wa mitandao Tanzania
Ni matumaini yangu kwamba mnaendela vizuri.
Naitwa Patrick Newman kutoka idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa New York.
Dhumuni ya barua pepe hii ni kujitambulisha kwenu kama focal point wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa

na pia kujaribu kujenga daraja kwa wana habari wenzetu nyumbani Tanzania. Baadhi ya wana mitandao kama vile Michuzi, Millard Ayo na wengine tayari 

ni washirikika wa Idhaa kwa muda sasa. Hivyo basi nachukua fursa hii kuendeleza kupanaua wigo wa mawasiliana kwa wanahabari

na wana mitanadao wengine wapya ili kujenga ushirika wa kubadilishana habari mbalimbali kati ya Tanzania na Idhaa ya Umoja wa mataifa

Yafuatayo ni baadhi ya mambo ya msingi ya ushirikiano wetu :-





kupata fursa ya kurusha na kutangaza jarida letu la kila siku la (dk 10)
kupata kibali cha kutumia habari na picha za Umoja wa Mataifa kupitia bloggs na website zenu
Kushirikiana katika maswala mbalimbali ya habari kati ya Tanzania na Idhaa ya Umoja wa mataifa
kupata fursa ya kurusha video za vipindi vyetu kama WIKI HII, KAZI ZA UMOJA WA MATAIFA, BAZARANI NA MJENGONI

1 comment:

Tumaini Geofrey Temu said...

Natamani Kuwakilisha Nchi kama Venezuela Zimbabwe