Advertisements

Saturday, April 29, 2017

MUUNGANO DAY SATURDAY APRIL 29TH, 2017 - SEATTLE, WA

Jumuiya ya Watanzania Washington -TanzaSeattle inapenda kuwatangazia wadau wote waishio Washington, Oregon, na majimbo ya karibu kujumuika nasi katika sherehe ya muungano itakayofanyika Jumamosi April 29th, 2017.
Maelezo zaidi soma kiambatanisho.
Karibuni wote tuselebuke kwa pamoja. 
"UMOJA NI NGUVU"

1 comment:

Rashid Aljabiry said...

Hakuna Muungano Ni nchi moja (Tanganyika) kuitawala kimabavu nchi nyengine (Zanzibar)