Advertisements

Saturday, August 27, 2016

DUA LA KUMWOMBEA MZEE ABOUD JUMBE MWINYI MSIKITI WA CHACHANI, CHAKE PEMBA

Wananchi kisiwani Pemba waiwa katika Khitma ya kumuombea dua Mzee Aboud Jumbe Mwinyi iliyosomwa katika Msikiti wa Chachani , Chakechake Pemba siku ya Alkhamisi 25/08/16 kwa kushirikiana na familia ya Marehemu
Khitma ikiendelea.

No comments: