Advertisements

Tuesday, May 3, 2016

MWILI WA KING DREW 404 WENGI WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MPENDWA WETU USIKU HUU JIJINI DAR- ES- SALAAM

Mwili wa Marehemu Andrew Nicky Sanga ukiwa Umewasili Tanzania
FAMILIA YA DREW WAKILIA BAADA YA KUWASILI MWILI WA NDUGU YAO UWANJANI HAPO. KWA PICHA ZAIDI NENDA SOMA ZAIDI!
Walio wasili na Mwili wa King Drew wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius  Nyerere Internation Airport.
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamefika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
Baadhi ya Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika eneo Maalum kwa ajili ya kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga
Baadhi ya watu wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga 
Yalikuwa ni Majonzi 
Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga ukiwa umesha wasili na hapa Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa wanaupeleka katika Gari Maalum Tayari kwa kuelekea Muhimbili kumhifadhi.
Mwili wa Marehemu ukiwa umewasili Muhimbili kwa ajili ya kwenda kuhifadhiwa 
Mmoja wa Mwanakamati ya maandalizi akitoa taarifa fupi
Baadhi ya ndugu jamaa na Marafiki waliofika kwa ajili ya kumsindikiza Mpendwa wetu Andrew Sanga Muhimbili Kuhifadhiwa Usiku Huu :
Credit:Dar-Es-Salaam Yetu

11 comments:

Anonymous said...

Jamani huu msiba wa huyu kaka umeliza wengi sana,poleni sana wafiwa,mwenyezi Mungu amlaze mahala pema AMEN

Anonymous said...

Rest in Peace baba

Anonymous said...

Hi guys, who was this guy, he must have been popular by the look of it.
Poleni wafiwa.

Anonymous said...

Apumzike kwa Amani. Nanyie wa huko majuu acheni kuzaa ngada

Unknown said...

Wapendwa wafiwa poleni sana!
Huyu ni mTanzania, lakini basi ebu toa historia yake kwa ufupi kusudi tumfahamu sie tusiomfahamu kuliko kuona, picha za Jeneza zikisema...King.King wakati hata tulio wengi hatumfahamu vyema hasa kwa Uking unaotajwa. Michuziblog na wengine jaribu kusimulia mtu angalau watu tuelewe.

Anonymous said...

Sio Kila aliye majuu anauza ngada. RIP Andrew Sanga.

Anonymous said...

Andrew Nicky Sanga alikuwa rafiki ya watanzania wengi huku America. Wengi tuligahamiana naye huku. Alikuwa hana majivuno, aliipenda sana kazi yake na alijipenda sana hasa kimavazi. Nasikitika niliwahi kukutana naye mara moja tu katika uhai wake ila niliwahi kuongea naye kwa simu mara kadhaa. Andrew anatoka Dodoma, ndiko alikokulia ingawa ana asili ya Iringa. Aliishi Atlanta, Georgia kwa miaka kadhaa na baadae akahamia Huston, Texas ambako aliishi mpaka mauti ilipomkuta wiki mbili zilipopita. Poleni sana ndugu na jamaa huko nyumbani Tanzania. RIP King Drew 404...#GoneTooSoon

Anonymous said...

Andrew was a good father to his daughter & got along with a lot of people in Houston Community and elsewhere in his social life..Will be dearly missed

Anonymous said...

Andrew was a good father to his daughter & got along with a lot of people in Houston Community and elsewhere in his social life..Will be dearly missed

Anonymous said...

Maskini mtoto wake Zoe .Roho inauma mno

Anonymous said...

He was a coworker of mine in Houston Texas who was murdered he was a very nice friendly man who was indeed popular amongst his friends and family in america and Tanzania. It was very special to have a service for him in Houston and for him to have one back hone.