Advertisements

Friday, May 27, 2016

TANZIA

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bibi Gella Elisha Sambula aliyekuwa Wakili wa Serikali Mwandamizi kilichotokea ghafla tarehe 26/05/2016 katika Hospitali ya Rufaa Mbeya.
 Mazishi yatafanyika tarehe 28/05/2016 Mkoani Mbeya.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE
-AMINA

No comments: