Advertisements

Thursday, November 26, 2015

THIS SATURDAY- PARTY


You are all invited, Please RSVP at www.ictdineranddance.eventbrite.com

2 comments:

Anonymous said...

Jamani watz wenzangu naomba mfanye utafiti wa kutosha nini maana ya Thanksgiving ilipoanza na maana yake leo hii. To make the long story short, chakula cha jioni siku hiyo kinaliwa kifamilia nyumbani. Kiutamaduni, chakula hiki hakilipiwi na wala hakina kiingilio. Ninyi waandaji mnatoka familia tofauti kabisa. Kama mmepanga kuzikitanisha familia zenu it's ok. Wengine mtuache tushiriki na familia zetu. Mngeuliza wamarekani utamaduni wao kabla ya kutangaza. Ninyi ni wasomi wazuri sana, hebu pitieni American history. Mnatuaibisha wandugu.

Anonymous said...

anonymous of 1:21am, well spoken but thanksgiving is Thursday November 26,2015 and part is Saturday November 28,15. get your fact right before commenting. no more comment