Advertisements

Saturday, October 10, 2015

UFAFANUZI WA IDADI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA OKTOBA 25


Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani  amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.

1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na

2. Namna SAHIHI  ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.
i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450
ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450
ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.

Itakuwa hivi.
Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-
450+450+450 = 1300
1900-1300 = 550
550 gawanya kwa 2 = 275

KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900
PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)

1. KITUO CHA KWANZA WATU 450
2. KITUO CHA PILI WATU           450
3. KITUO CHA TATU WATU        450
4. KITUO CHA NNE WATU          275
5. KITUO CHA TANO WATU       275
JUMLA                                            1900

ZINGATIA
Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.

1 comment:

Anonymous said...

WAONGO WAKUBWA NI NYINYI TUME NA HILI NI JARIBIO CHAFU LA UBABAISHAJI ILI KUWACHANGANYA WAPIGA KURA WENYE UELEWA MDOGO KWA MAKUSUDI ILI AIDHA WAKATE TAMAA YA KUTOKUPIGA KURA NA AU WAANGUKIE MIKONONI MWA MAWAKALA FEKI MLIOWATAYARISHA.TANGU MWANZO WEWE KAILIMA ULITUTANGAZIA WAPIGA KURA TULIOJIANDIKISHA MILLION 23 KUWA KUTAKUWA NA JUMLA YA VITUO VYA KUPIGIA KURA 72,000.SASA LEO HII UNATULETEA WRONG MATHEMATICAL BREAKDOWN KWA FAIDA YA AJENDA YENU CHAFU SANA YA SIRI-NEC-MPATE NAFASI NYINYI NA COLLABORATORS WENU WAKUBWA CCM ILI MTUIBIE KURA-TUMESITUKA.KAMA KAILIMA ULIKUA UNA NIA NZURI YA WAZI KWA NINI HILI MSILIWAKILISHE MAPEMA KWENYE VIKAO HALALI NA VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI UCHAGUZI HUU.HAPO KUNA HILA CHAFU. ANGALIENI KAILIMA,UBAYA WENU MWAKA HUU HAUTALIPA,HAKI ITAWALIPISHA.