Advertisements

Saturday, October 10, 2015

TIMU NIMESTUKA WAKIFANYA KWELI KATIKA JIMBO MSALALA MJINI KAHAMA





5 comments:

Anonymous said...

Hii show au kampeni
Mmekwisha CCM mwaka huu
Tarehe 25 kwa Lowassa wote na Ukawa
Show ya bure bureshi

Anonymous said...

SAWA SAWA HII NI BONANZA FIESTA YA WANAMUZIKI WALIOLIPWA MABILLION NA CCM WAFANYE KAZI YA KUUHAMASISHA UMMA KUIPIGIA KURA CCM,KWA JINA JINGINE FIT NA ZURI SANA KWAO NI MAMLUKI WA CCM.NAWAITA MAMLUKI KWA SABABU HAWA SIO WANASIASA ,WANAFANYA KAZI YA MUZIKI,MAISHA YAO NI MUZIKI,HAWANA KADI ZA UANACHAMA WA CCM,HAPA KUNA UKWELI MMOJA AMBAO KWA UJINGA,UPUUZI NA USHENZI WA CCM,HAWAUONI.NI KWAMBA HAWA WANANCHI WAHUDHURIAJI WA HAYA MATAMASHA MUZIKI YALIYODHAMINIWA KWA GHARAMA KUBWA MNO NA CCM TAYARI WALIKWISHAAMUA KUMPIGIA KURA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA PALE KWENYE MATAMASHA YA CCM WAO WANAFUATA MUZIKI WA BURE,MUZIKI TUU.WANA MSEMO WAO,WANACHI HAWA MCHANA TUNAKULA VYA UBWETE VYA CCM,LAKINI USIKU TUNAENDA KULALA NYUMBANI-UKAWA.HUU NDIO UKWELI.

Anonymous said...

Bado wiki mbili tu mtakaa kimya.

Anonymous said...

Hahahaha! Timu nimes'tuka, mnachekesha sana. Mbona hamkushtuka elimu nchini ilipokuwa inazidi kudidimia? Mbona hamkushtuka uchumi wa nchi ulivyokuwa unazidi kuzorota? Mbona hamkushtuka rushwa ilivyozidi kuongezeka nchini? Mbona hamkushtuka haki na maslahi ya waalimu, madaktari na nyie wenyewe wasanii yanavyokandamizwa?
Mnashtuka baada ya kupata mkate wa leo, subirini baada ya tarehe 25 Oktoba ni "Business as Usual" kama hao mnaowashabikia wakirudi madarakani tutawasikia mkianza kulalamikia maslahi ya wasanii tena. Kweli sikio la kufa halisikii dawa!

Anonymous said...

CCM haitetereki na 25/10/2015 Ikulu tena.