Advertisements

Saturday, October 10, 2015

Reggae Time ya Pride Fm Oct 10 2015.....Akisi ya maisha yetu

Photo Credits: http://virtuallythere.wikispaces.com
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: