Advertisements

Saturday, October 10, 2015

MAMA SAMIA AFUNIKA ILEMELA NA NYAMAGANA MKOANI MWANZA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Wananchi wakimshangilia Mama Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia maelfu ya wananchi hao waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Kitaifa, Christopher Ole Sendeka, katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Maarufu wa jina la Msukuma, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia Suluhu Hassan leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Kada wa CCM, Paul Makonda akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Kijana akiwa na Kufuli, kumpamba Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Bitimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mwanza Baraka Konisaga, akihutubia mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza. Konisaga amewataka wananchi wa mkoa wa Mwanza kutokuwa na hofu wakati wa kampeni zinazoendelea na wakati wa uchaguzi, kwa kuwa serikali katika mkoa huo imejiandaa kuhakikisha shughuli hizo zinafanyika na kumalizika kwa amani na utulivu.
Baadhi ya viongozi wa CCM, wakiwa meza kuu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan aliphutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Wananchi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Chrisopher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Mwananchi akiwa kwenye kilele cha jiwe, ili kumuona mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katikajimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Baadhi ya wanachi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofayika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Bango la Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela, Angeline Mabula 
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisistiza jambo wakati akihutubia mktano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela Angeline Mabula, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo. 
Vijana wakiwa kwenye pikipiki zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani Mwanza
Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza maarufu kwa jina la Msukuma, akiwa na Kada wa CCM, Paul Makonda na Christopher Ole Sendeka wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilemela mkoani MwanzaPICHA ZOTE NABASHIR NKOROMO

No comments: