Advertisements

Saturday, October 10, 2015

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA DALLAS, OMAHA NA KANSAS CITY

https://scontent-dfw1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/t31.0-0/p480x480/12140118_511185279057235_8578651045244488418_o.jpg
Napenda kuwajulisha Watanzania waishio Dallas, Omaha, na Kansas City kwamba kutatolewa seminars ambazo zitatoa fukrusa ya kujiendeleza katika elimu ya kibiashara. Kama unatarajia kuanziasha biashara yako kwa siku za karibuni au ndio kwanza umeanza biashara yako; basi kuna umuhimu wa kupata mwamko/elimu zaidi juu ya uanzishaji na uendeshaji wa biashara katika viwango vya juu.
Elimu hii ni muhimu kwa watarajiwa ili kuanzisha biashara zenye ujasiri na ufanisi zaidi katika hatua za kupambana na upinzani wa kibiashara, ambao kwa sasa unazidi kuwa mgumu.

Pia elimu itakusadia kufamu yafuatayo:
  1. Ni wakati gani wa kuanzisha biashara.
  2. Ni aina gani ya biashara ya kuanziasha.
  3. Sheria zote zihusianazo na biashara.
  4. Uchaguaji wa eneo la biashara.
  5. Wateja (customer service).
  6. Ufanisi wa kibiashara (enterprise strategy).
  7. Uuzaji wa bithaa/huduma (sales and marketing).
  8. Ubora wa huduma/bithaa (total quality management)
  9. Uendeshaji wa biashara (operations).

No comments: