Advertisements

Saturday, October 10, 2015

CHAGUA MUHIDIN BUNAYA SANYA - Mgombe udiwani Kata Kimbiji,Dar-es-Salaam

WANA KIMBIJI TUMCHAGUE DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KWA MASLAHI YA WAKAZI WA KIMBIJI,Tuache ushabiki wa vyama tu we wa kweli kwa kumchagua kijana wetu huyu Muhidini Bunaya Sanya mwenye kiu ya maendeleo,aliyesimama kidete kila wakati na kuhakikisha sisi wakazi wa Kimbiji tunanufahika kwa elimu ya watoto wetu,uchimbaji wa visima,anatupigania kuhakikisha hatunyanyaswi na wavamizi wenye uchu wa kupora maeneo yetu wenyeji,Muhidini Bunaya Sanya mzawa mwenye uchungu na kimbiji pia ni jembe letu la mpini wa chuma- Mchapa Kazi ,Sisi wana Kimbiji tuongane kwa pamoja siku 25 Oktoba 2015 kumpa kura zote za ndio mwenetu hawe Diwani wetu Muhidini Bunaya Sanya ,KIMBIJI Hoyeeee!

No comments: