Advertisements

Thursday, August 27, 2015

TISA WAFARIKI KWA MOTO BUGURUNI

Wananchi wakiwa eneo la tukio Buguruni Malapa Jijini Dar.
Muonekano wa nyumba hiyo baada kuteketea na moto Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar.

NYUMBA moja iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya watu tisa. Mashuhuda wa Tukio hilo wamesema chanzo cha moto huo hakijajulikana, na mpaka sasa tayari miili mitano imeshatolewa. GPL

No comments: