Advertisements

Saturday, August 29, 2015

MECHI YA SIMBA NA YANGA DMV LEO JUMAMOSI AUG 29, 2015 PLUS NYAMA CHOMA HYATTSVILLE, MARYLAND

Uzi wa Simba na Yanga wawasili
Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015  saa 1 usiku kwa mara ya kwanza mwaka huu  DMV itafanyika pambano kabambe la Simba 
na Yanga katika uwanja wa Heurich turf field uliopo Hyattsville, Maryland nyuma ya Home Depot 
anuani ni 
6001 Ager Rd, 
Hyattsville, MD 20781, 
Mpambano huo ni kwa wachezaji wa DMV tu




No comments: