Advertisements

Tuesday, August 4, 2015

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
 Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika Sherehe hizo za Mapokezi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiongea na Wananchi
 Mwenyekiti wa Chama Cha  Mapinduzi Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na wanachama 
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mh. Samia Suluhu akiongea na Wanachama
 Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli (wa kwanza kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanachama
 Wakionesha Fomu
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais  leo agosti 4, 2015.

PICHA NA IKULU

6 comments:

Unknown said...

sasa ikule kivipi na mambo ya siasa

Unknown said...

tuambieni
hapo ikulu inaingiaje?

Anonymous said...

IF YA'LL KNOW WHAT I MEAN "TO PROCTECT AND SERVE"

Anonymous said...

Tatizo u chadema mwingi,,, Lowasa hoyeeeee ikulu yaki Hongera Dr Slaa wee Mazalendo sio m roho.

Anonymous said...

mbali ya kuwa rais huyo ni mwenyekiti wa chama kama hufahamu. au unataka asitokee kwenye matukio muhimu ya chama kama Dr. slaa?

Anonymous said...

Ebo, mnaanza kuitumia IKULU kuhalalisha GOLI la MKONO?