Advertisements

Saturday, August 29, 2015

KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC ASYA IDAROUS KUFANYA ONESHO LA KHANGA


Kwa mara ya kwanza katika historia
inakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE

ANUANI
1104 BROAD ST
DURHAM NC 27705

Khanga Party ndani ya Durham North Carolina
Kiingilio ni $ 20
Couple $30
Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pm
Music By Dj Luke
Milango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3am
KaRiBuNi 

No comments: