Advertisements

Thursday, August 27, 2015

Dk. Shein Azindua Uwanja wa Basketi Wete na Kukadidhi Vifaa vya Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Resi za Baskeli Pemba Ndg Masoud Omar vifaa vya mchezo huo pamoja na baskeli haipo pichani. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Mpira wa Bidmilton Ndg Ali Mwinyi Faki 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Kareti Ndg Halfan Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Timu ya Mpira wa Mikono Volball Ndg Omar Rajab Mwinyi vifaa vya mchezo huo kwa ajili ya timu yao 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Vijana wadogo wa mchezo wa basketi ball wakati wa hafla ya kuzindua uwanja wao na kuwakabidhi vifaa vya michezo vijana hao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wanamichezo katika uwanja wa basketi Polisi mesi wete baada ya kuwakabidhi vifaa vya michezo mbalimbali kisiwani Pemba 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba baada ya kubidhi Vifaa vya Michezo na kuzindua uwanja mpya wa mchezo wa Baskti ball Polisi Mesi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba baada ya kubidhi Vifaa vya Michezo na kuzindua uwanja mpya wa mchezo wa Baskti ball Polisi Mesi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Said Ali Mbarouk wakati akiondoka katika viwanja vya Basketi Polisi Mesi baada ya kukabidhidhi Vifaa vya Michezo kw Wamamichezo wa Mbalimbali kushoto Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Sharifa Khamis.
Vijana Wadogo wakionesha mchezo wa Kikundi cha Karati cha Gonju Wete Pemba wakionesha jinsi ya mchezo huo unavyochezwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba, hafla iliofanyika katika uwanja mpya wa Basketi Polisi Mesi Wete.

No comments: