Advertisements

Wednesday, July 1, 2015

NYALANDU ARUDISHA FOMU ZA WADHAMINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kulia) akirudisha fomu za wadhamini kwa Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi.

No comments: