Advertisements

Saturday, May 30, 2015

STARS UNITED KUCHEZA NA VITAMBI FC LEO MAY 30


Stars United
Vitambi FC

Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC leo Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.

Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo itakayofanyika DMV.

Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku hiyo ya May 30, 2015.

No comments: