Advertisements

Friday, May 29, 2015

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050
Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.
292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339
Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.
2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233
Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa Sycamore Valley Ranch – jina ambalo lilikuwa likitumika mwanzo kabla ya staa huyo kuyanunua miaka ya 80.

2929115C00000578-3101512-On_sale_Michael_Jackson_s_Neverland_Ranch_pictured_recently_has_-a-27_1432854494350
Ndani ya makazi hayo pia kuna nyumba mbili za kulala wageni, moja ikiwa na vyumba vinne na nyingine viwili.
2929116C00000578-3101512-Renovated_Listed_by_Sotheby_s_and_Hilton_Hyland_most_of_the_tell-a-24_1432854494330
Pamoja na kutokuwepo tena kwa eneo la michezo mbalimbali yaani amusement park, bado kuna eneo hilo lina bwawa la kuogolea, uwanja wa mpira wa kikapu, uwanja wa tennis na eneo la BBQ.
2929115800000578-3101512-Grand_living_quarters_WSJ_reports_the_home_which_is_located_betw-a-16_1432854493865
Jackson alinunua ranchi hiyo mwaka 1987 kwa thamani ya dola milioni 19.5 na kisha kuitumia kama rehani ya mkopo wenye thamani ya dola milioni 24.5 ambao alishindwa kuulipa.
2929119800000578-3101512-Strict_The_agents_have_stressed_that_this_is_not_fans_chance_to_-a-17_1432854493867

No comments: