Advertisements

Saturday, May 2, 2015

Diamond na Khadija Kopa wakiimba wimbo wa "Nasema Nawe" katika Zari Whit...

1 comment:

Anonymous said...

dj luke sauti hasikiliziki vizuri.

na Khadija kopa make sure diamond anakulipa pesa yako kwa kuimba pamoja naye katika nyimbo hii;yasije yakakutokea kama ya hawa aliyetoka patupu bila senti tano katika wimbo wa "nitarejea" ambao ulimpaisha jamaa charti.

na wimbo huu anasema nani amatungiwa mafumbo haya?tunavyojua haimbi bila ya kumtungia mwafulani mafumbo na ndo zinazo mpaisha charti.

so mwafulani yeye ni TURUFU,YEYE NDO GARASA TENA KAPAPASA SI MCHEZOO MPAKA HIVI SASA ANAIMBA MIPASHO;BONGO FLAVA HAIWEZI.GARASA WAHEED WEEEEEE.