Advertisements

Monday, April 27, 2015

HII NDIYO YANGA YANYAKUWA UBIGWA MARA YA 24


Shabiki wa Yanga akifurahia UBIGWA baada ya kuibwaga polisi Moro bao 4 kwa 1.
Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya
Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na Francis
Dande)
Mashabiki
wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
Mshambuliaji
Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.



Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezona Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.

Amis Tambwe akipokea mpira baada ya kufunga”Hat Trick”

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akishangilia baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

Mashabiki wakishangilia.
Credit; ShaffihDauda.com

No comments: