Advertisements

Sunday, March 22, 2015

MIUNDO MBINU NDANI YA JIJI LA BONGO NI KERO ISIYO KWEPEKA

 Mvua zinazoendela bongo haya ndiyo madhara yake hii yote ni kutokana na miundo minu mibovu.
 Mvua zikishesha bongo hii ndiyo kero yake watu upata shida katika harakati zao za kutafuta riziki 

 Barabara zote maji habari ndiyo hiyo

3 comments:

Anonymous said...

Juu ya ardhi vikwangua anga vinaongezeka kila siku wkati chini yaardhi kumeziba choka mbaya. A colonial sewage system designed for less than 200000 people is being overworked by about 7 million people. Kila mtu anataka aishi Dar, aendeshe gari Dar na ajenge nyunba Dar. Moshi wa magari mabovu na viwanda unauwa watu taratiiiiiiiiiibu kila kukicha. Mafuriko yanapotokea ndo watu wanapata opportunity ya kutapisha vyoo vyao. Harufu kali ya jiji la Dar inatosha kuzalisha umeme wa kutumia nchi nzima.

Anonymous said...

Itabidi serikali nzima iwe fired.engineers should be changed with corruption

Anonymous said...

Maengineers wengi but hawapewi hizo kazi...everyday ni kuajili macompany ya nje kujenga sijui vitu gani wakati the important stuff kama drainage system mbovu. Fix the important everyday life things alafu ndiyo vingine.....wizi na corruption ...sasa magonjwa yanafuata baada ya mafuriko