Advertisements

Thursday, March 5, 2015

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.
Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.
Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka Shirika la Spacsaver la Sweeden na madaktari wa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.( Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. )

No comments: