Advertisements

Sunday, March 1, 2015

KIATU KILICHOMVUNJA MBAVU MWESHIMIWA

Mhe. Ridhiwani Mb wa Chalinze alishindwa kujizuia kucheka baada ya kuona kiatu cha mtangazaji wa Radio UN Joseph Msami.

No comments: