Advertisements

Saturday, March 21, 2015

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.
Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.
Abba Genes akisoma somo.
Jermine Shelukindo akisoma somo.
Henry Kente akitoa neno la shukurani.
Henry Kente akimwongoza dada yake Mamertha kuwasha mshumaa.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

3 comments:

Anonymous said...

Poleni wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Nilikuwa na swali kwa watu wa karibu hivi marehemu aliwahi kufundisha Tambaza miaka ya nyuma 87 -90. Kuna mwalimu mmoja alikuwa anaitwa Kente pale Tambaza mwenye jibu naomba nirushie.

Anonymous said...

Poleni wafiwa Mungu awatie nguvu, ndio Marehemu alishawahi kuwa mwalimu Tambaza.

Anonymous said...

Anonymous, ni sahihi mwalimu Kente alifundisha Tambaza miaka hiyo. Mungu amlaze mahali pema Peponi mwalimu wetu. Alikuwa kiongozi wa mchezo wa badminton vile vile kipindi hicho.