Advertisements

Thursday, February 26, 2015

Sikiliza hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

Jitiririshe na hii hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu

2 comments:

Anonymous said...

It's sounds like another version not remix!

Unknown said...

Diamond anahitaji kusikia na kuheshimu wanawake hasa mabinti wa watu na upendo wa ukweli.
Aibu kukimbilia mali ya mwanamke wala hujui alikoitoa na kujibebesha na watoto wakiume watatu ni hasara. Diamond wewe umekuwa Baba wa kambo sasa na utabakia kuitwa Baba wa kambo maisha yako yote? Eti mimba unajuaje kama ni yako? Alikuwa mke wa mtu huyo. Usimtupe mbachao kwa msala upitao ndugu.