Advertisements

Friday, December 19, 2014

TELA LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA JIONI HII

Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
Mafuta aina ya petroli yakimwagika
Polisi Usalama barabarani wakilinda eneo hilo
Tela hilo T 172ABT likiwa chini Picha kwa hisani ya Father Kidevu

1 comment:

Anonymous said...

Askari wa kipolisi aina zote Tanzania ni watu wema sana! kwa nini nasema hivyo. Mtizame askari wa usalama barabarani hata kasilaha kadogo tu hana na analinda mali ya thamani, isitoshe watu wanajipitisha kando ya tanki hakuna hata kizuio chochote cha kuonyesha hali ya hatari!! Je ukivamiwa na hawa vibaka wa bongo si watakubua shati na mafuta wachukue!! Idara zinazohusika na usalama wa mali za wananchi zijipange sawia na usalama!! Asante.