Advertisements

Sunday, October 26, 2014

IBADA YA BABA REV. DR. EDWARD MMANYWA NORTH CAROLINA LEO JUMAPILI

Kutakuwa na ibada ya marehemu Baba Rev. Dr. Edward Mmanywa siku ya Jumapili 10/26/2014 saa 8 mchana (2pm)

Adress:

RCCG- Church
2721 West Mountain Street
Kernersville, NC 27284.
Service itaanza exactly at 2pm. We will eat together after the Service.
Kwa wale ambao wataweza kufika kwenye ibada muda huo, wafiwa watakua nyumbani kuanzia saa 11 jioni (5pm.)
Adress ya nyumbani ni:
1809 Hunters Forest Drive
Winston-Salem NC 27103. 


Kwa mawasialiano na maelezo zaidi Namba za Simu 336-575-3306, 336-287-6169, 336-287-3291.

Asanteni sana kwa faraja zenu, Upendo na ushirikiano wenu. Mazishi yatafanyika jumamosi Dar es salaam, Tanzania makaburi ya Kinondoni


 Pia unaweza tuma rambirambi zako kupitia Wema Chagula
Bank of america checking 237029509151 routing#0530001

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na juina lake lihimidiwe.

No comments: