Advertisements

Saturday, November 1, 2014

IBADA YA SHUKURANI SEATTLE, WA

Familia ya Bw& Bibi

Emil Muta wa Seattle Washington. Wanapenda kuwaalika ndugu , Jamaa na marafiki katika Ibada ya shukrani kwa Mama Yao mpenzi kwa kutimiza Miaka 80 ya kuzaliwa pamoja na kupata kilembwe kwenye uzao wake.tarehe 1/11/14 kuanzia saa kumi jioni mpaka kesho yake.
Na sherehe ya kukata nashoka itakayofanyikia katika ukumbi wa ICE CENTER
6015 S 240 ST
KENT WA 98032
Karibu nyote , karibu wote
Imetolewa na Baba wa Seattle kwa niaba ya Famili

No comments: