Advertisements

Wednesday, October 22, 2014

DIAMOND AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.

Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay, ahojiwa kwa saa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ kituoni hapo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, JWTZ wamezichukua sare zote za wasanii hao kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kuamua kuchukua hatua zaidi za kisheria dhidi yao.

Diamond aliongozana kituoni hapo na promota wa wasanii, Chief Kiumbe. Habari kwa hisani ya GPL

2 comments:

Anonymous said...

kuna mwanamusiki mmoja wakimarekani nadhani chriss brown but not sure alitinga bongo na mavazi ya kijeshi mbona hajafanywa chochote kile wala kushtakiwa au kwa vile mmarekani.na tujiulize tukitinga sisi kule bongo na mavazi haya tutashikwa au hapana kwa vile tuna uraia wa kimarekani.

ujinga sana huu.

Anonymous said...

BONGO BADO SANA! KWANI KENDA FANYIA UJABAZI NGUO HIZO ? BASI WAWA AMBIE WATEBGENEZAJI WA NGUO HIZO SIZISHONWE AU KUUZA TANZANIA NI MARUFUKU, AU WALITAKA AVAE KANZU YA KUSALIA IJUMAA?

HII NI MIAKA 12 BAADA YA MELLENIUM
WAKE UP BONGO