Advertisements

Tuesday, September 2, 2014

WATANZANIA NA WADAU WENGINE MNAOTANGAZA MALIASILI NA UTALII WA TANZANIA

Watanzania na wadau wote wanaotangaza maliasili na utalii wa Tanzania mnaombwa tafadhali wasiliana na wanakamti ya maandalizi ya PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN THE USA katika kusaidiana katika kutangaza utalii wa nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja KWA PAMOJA TUNAWEZA

Tafadhali wasiliana na wanakamati namba za simu Baraka Dudi 301 792 8562, Asha Nyang,anyi 301 793 2833, Julius Katanga 202 400 4218, Idd Sandaly 301 613 5165, Mayor Mlima 301 806 8467 na Tumaini Kaisi 301 433 3411.

Ushirikiano wako ndio mafanikio ya sherehe hii.

Asante.

No comments: