Advertisements

Sunday, September 28, 2014

BIRTHDAY GIRL WEMA HII NDIYO ZAWADI YAKE KUTOKA KWA MR PLATNUMZ


Jitiririshe na surprise gift ya birthday ya Wema na utakubari mapenzi yao na Diamond ni Special given. Habari ndiyo hiii mambo mengine mwachie baba na mama na movie hii siyo ya leo wala kesho.

Wema Isaac Sepetu akiongea na wageni wake (hawapo pichani) kabla ya kukata Ndafu.
Martin Kadinda (kushoto) akimuonesha Wema Sepetu kadi ya gari.
Gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa Wema Sepetu na mpenzi wake Diamond Platnumz.
Gari aina ya BMW alilozawadiwa Wema Sepetu na meneja wake Martin Kadinda.

1 comment:

Anonymous said...

hiyo bmw amempa martin kadinda and sio diamond lakini platnum kampa morano.