Advertisements

Monday, September 15, 2014

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DCM MBAGALA

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, leo asubuhi.
Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri

3 comments:

Anonymous said...

Kweli dreva wa daladala bira tu ujitokezee kuna waliokuona!

Anonymous said...

Jamani, hizo picha msionyeshe, hivei bongo hata utu hakuna sasa. At that state watu wangekuwa wanampat First aid,. kama amekufa basi wanagemfunika.

Anonymous said...

I don't like any police, but at that state, I would help anyone. That is not a show, We have a long way to go!!