Advertisements

Saturday, September 20, 2014

ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN

Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.
Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. 
Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.
Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.

No comments: