Advertisements

Thursday, September 11, 2014

4TH ANNIVERSARY OF VIJIMAMBO BLOG, PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN THE USA

Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.
Ukumbi wa sharehe ya mchana kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 11 jioni
add ni 3 Reserch  Court, Rockville, MD 20850 na baadae usiku ni Hall la Oxford 9700 Martin Lurthers King Jr HWY, Lanham, MD 20786 kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajiri

Vyakula vya kitanzania Burudani ya kila aina karibu tuitangaze Tanzania kimataifa. 

Kwa Wajasiliamali watakaopenda kuweka meza zao mwisho tafadhali wasiliana na wanakamati Baraka Daudi 301 792 8562, Tuma Kaisi 301 433 4311, Iddi Sandaly 301 613 5165, Asha Nyang;nyi 301 793 2833, Mayor Mlima 301 806 8467 na Julius Katanga 202 400 4218
msanii wa Bongo Flava Kassim Mganga kunogesha tamasha la Utalii na miaka 4 ya Vijimambo
Aunty Ezekiel Msanii wa Bongo movie kutoka Bongo kunogesha Tamasha la Utalii na miaka 4 ya Vijimambo kaa mkao wa kula

8 comments:

Anonymous said...

Ahaaa ...its all coming together now!

Anonymous said...

Any news au mziki ni ule ule wa urai Pacha.

Anonymous said...

NJOO TUJIVUNIE UTALII WETU NA KUFURAHI KWA MUZIKI NA VYAKULA VYA KINYUMBANI

Anonymous said...

Mtoa maoni wa pili, soma kichwa cha habari, utaelewa.

Anonymous said...

Kassim Mganga naupenda wimbo wako moto moto.

Anonymous said...

Najua kasimu ni mwanamuziki ataimba sasa aunt ataigiza Au ..

Anonymous said...

Aunt atakatika mauno njoo umuone anavyokata nyonga ......upo hapo karibu sana ...

Anonymous said...

aunty umetinga u.s mambo muruwa nitakuja kukuona my dear usitubaniye kunenguaga okay.