Advertisements

Sunday, August 31, 2014

WAUMINI WA KATOLIKI WAMUAGA PADRI SHAO

Mwambata wa jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Colonel Adolph Mutta (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Padri Shao baada ya Misa maalum ya kumuaga iliyofanyika Baltimore Maryland leo Jumapili Aug 31, 2014 na kuhudhuriwa na waumini wa Katoliki na marafiki zao. Padri Shao anamaliza muda wake wakulitumikia kasini hilo la Katoliki la Baltimore.
Padri Shao akiwa kwenye Misa ya ibada ya kumuaga iliyofanyika leo Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani akijumuika na waumini wa Katoliki DMV kwenye misa ya kumuaga Padri Shao iliyafanyika Baltimore, Maryland leo Jumapili Aug 31, 2014
Mapadri na wakijumuika pamoja kwenye misa ya kumuaga padri shao. Picha zote na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland. Na kwa picha zaidi bofya soma zaidi.




No comments: