Advertisements

Thursday, September 4, 2014

TANGAZO KWA WANA DMV KUJIUNGA KWENYE KAMATI MBALI MBALI ZA JUMUIYA


Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuiya wote wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.

"Mwanzo Mpya"
Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).

The Administrative Committee. 
The Information and Communication Committee
The Finance Committee. 
The Governance Committee
The Social – Economic and Empowerment Committee. 
The Immigration Committee
The Health Committee

Tunakuomba ujiunge kwenye moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.


Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;

Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Katibu- Saidi Mwamende @ 301-996-4029.
Makamu Katibu- Bernadetta Kaiza @ 240-704-5891.
 Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966


27 comments:

Anonymous said...

TAMCO wanatosha

Anonymous said...

Governance committee should be handled over to Libe, that's only way to shut his BS, the boy thinks he is too big just because he talk nonsense!!

Anonymous said...

Libe is not talking nonsense....sema tu wa-TZ hawajazoea repercussions of their wrong acts. sasa Libe washughulikie wajue this is America, hakuna cha mtoto wa waziri wala wa mkurugenzi!

Anonymous said...

Mnaanzisha wenyewe dhana za udini halafu mnasingizia waislam wana udini, FYI, Iddi amepigiwa kura na watu wa dini zote na hata waislamu baadhi wa Tamco hawakumpa kura. Huo udini mnao ninyi Team Libe!!!!Nonsense!! DJ LUKA USIBANIE HII!!

Anonymous said...

Anonymous # 2 Huo sio ustaarabu wa kuanza kutoa maneno ya kejeli na mtusi kwa Bwn Ribe.Hii nikuendelea kujenga na kupandikiza chuki kwa jamii inayotuzunguka. Acha ushabiki tumia logic kujenga hoja zako. Je unafikiri Timu Iddy itafanya kazi kwa ufanisi zaidi bila Timu Ribe? Ukiona watu wamekaa kimya siyo kwamba ni wapuuzi au wajinga ila wanafuatilia kwa umakini kujua hatima ta jumuiya yetu. Juzi kwenye nyama choma ya Jumuiya wamefika watu hata arobaini hawafiki na waliopiga kura ni zaidi ya mia sita. Je unafikiri tunapenda kuliona hilo? Jaribu kuchangia hoja ili kujenga na si kubomoa.
Mdau DC

Anonymous said...

Jamani wakristo wezangu tunaliona tangazo hili tujiunge isifike mahali waisilamu wakajiunga tukasingizia udini kumbe sisi wenyewe hatukutaka kujiunga tushirikiane sote kwapamoja tujenge jumuia yetu samahani Kama kunamtu Nita mkwaza

Anonymous said...

Suala la mtoto wa waziri au mkurugenzi yanakujaje humu, kumbe kuna personal isssues ndiyo maana mmemsakama katibu wa tume ya uchaguzi sababa baba yake alikuwa kiongozi na mmediriki kuandika article michuzi na kucross line kumtaja mzazi wake aliyekuwa balozi hapa. kwa mpango huu hakuna anayewasikiliza sababu hoja zenu zinaelekea ni za personal na hazina tija na jumuiya je angekuwa mtoto wa mkulima mngesema yote yale. Kila kitu mmeandika ni dhana DO YOU HAVE PROOF HOW SHE HAS DIVIDED THIS COMMUNITY? KUMBUKENI TUPO MAREKANI HUU SI UHURU WALA MZALENDO AU RAI AU MWNANANCHI UNAWEZA ANDIKA CHOCHOTE HAPA MAJUU UHANDISHI WA HABARI AU UTOAJI WA HABARI UNA MIPAKA YAKE U MIGHT FIND YOURSELF IN A LAWSUIT PAYING SOMEBODY SOME GOOD MONEY FOR THE REST OF YOUR LIFE, WATCH OUT

Anonymous said...

we anonymous wa #5 acha uongo katika bbq kulikuwa na watu zaidi ya mia tatu. endeleeni kususia sie twaendeleza jumuiya ngojeeni mahakamani mkaumbuke. huna hoja wewe unachokaa ni kuongea uongo na kughushi vitu,unataka kughushi hata picha baada ya kushindwa sahihi ya mchungaji

Anonymous said...

Wewe anonymous #5 who is Ribe?

Anonymous said...

Wengine wako nyuma ya keyboard wanasubiri kuona mahakamani watu wakiumbuka...keep waiting

Anonymous said...

Libe 4 dmv alawi; mama salama na w engine wangi Ni waislam wapo upande wako sasa mnaposema udini mama ana gani alawi alishawahi mtu wa mbele sana ktk tamco Enzi za mzee kalala. Na ndg alawi na waslam wote mlipo kambi ya libe mlitakiwa kukemea jambo hili maana Kukaa kimya Ni unafki ugopeni Allah njaa itawapeleka motoni wayanaozhubillah

Anonymous said...

Si kweli nilikuwepo japokuwa mimi niko upande wa libe watu walikuwa kama 70-75

Anonymous said...

Alawi hana njaa yoyote ni mtu wa msimamo.kumbuka watu wana uhuru wa kuzungumza hiyo democracy.na kwa tarifa yako alawi sio tu alikuwepo wakati wa mzee kalala ndio wasisi wa tamco hapa dmv

Anonymous said...

Akili za kushikiwa ni cancer, uchaguzi umefanywa kihalali na uwazi, au haki ulikuwa lazima Live ashinde??

Anonymous said...

Timu Libe ndio inapandikiza chuki ikitumia dhana ya udini, huku ikisahau washirika wa karibu wa Libe Alawi na Jabiri Jongo ni waislamu,. Labda tuwaulize nyie team Libe kabla ya Iddi Sandaly hajachukua madaraka ustawi wa jumuiya ulikuwaje??

Anonymous said...

Hapa hakuna udini ni wapuuzi wachache wasiotaka kuheshimu maamuzi ya wengi, hivi Alawi na Jabiri Jongo ni wakatoliki??

Anonymous said...

Hivi haya viongozi wa CCM waliogombea nafasi za Jumuiya wamenishangaza sana. Huu ndiyo uroho wa madaraka na ndiyo maana wakashindwa, Hivi inawezekanaje kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja? Waoiga kura waliliona hilo na ndiyo maana wakashindwa. Ninyi viongozi wa CCM Mzee Sebo na Isingo wakalisheni chini hao viongozi na muwape somo waache kujichora kwenye jamii na kukiharibia sifa chama chenu.

Anonymous said...

TIMU LIBE TUNAOMBA UANDAE NYAMA CHOMA ILI NASI TUWEZE KUJUMUIKA PAMOJA.

ASANTE SANA Bw.LIBE KWA KUSIMAMIA HAKI YA KILA MWANA-DMV.

Anonymous said...

Nadhani umishindwa kuelewa au umeamua kutokuelewa mimi naelewa alawi anamchango ngani ktk tamco ndio maana nimsema alishawi kuwa mtu wa juu ktk Enzi hiyo suala waislam w alikuwa libe time na mmkjawapo alawi ambaye unadai Ni muanzilishi wa tamco wamekaa kimya wakaangalia baadhi watu wa timu libe wakiipaka matope tamco na waislam wote kwa kuwa na udini maana yake Nini kama si njaa basi itakuwa Wanachuki binafsi kwa taarifa mm Ni mmoja wa waasisi na waislam wote walikuwapo dmv back then Ni waasisi wa tamco na haikuanzishwa kwa madhumuni ya kuwala wasio waislam kazi kwenu

Anonymous said...

Anonymous 8: 43 nadhani huyo jamaa hapo juu alikuwa anazungumzia kuhusu watu kama anonymous wa Kwanza wanaousisha tamco katika suala hili na alawi anaijua tamco nje ndani sasa ukisema ana msimamo maana yake nn? au msimamo wake nn kuhusu suala la tamco kuburuzwa kwenye uchaguzi huu? suala Alilosema alawi yeye binafsi bali waislam wote waliokuwapo libe time kama umemnukuu vizuri msimamo wao nn kuhusu kuingizwa tamco kwenye uchaguzi wenu kumbukeni tupo watu ambao Ni tamco na hatujihusishi na siasa zenu

Anonymous said...

Huyo raisi ni wa TAMCO, sisi hatumtambui na mwenyewe anajua hapendwi pamoja na wizi wa kula.

Anonymous said...

Sawa Kabisa commander

Anonymous said...

Waumbuke Mara ngapi , kwani wewe upo wapi? Hauja ona uwamuzi wa judge ! Amewatoa baruti wanaleta upuuzi

Anonymous said...

Ndiyo maana mmeanguka vibaya sana , kwa ajili ya upumbavu mliyo ambukizana bilakujua ukweli nini , kila nikikusoma naona akili yako ya kishamba

Anonymous said...

Ignorant,usilete chuki zako binafsi.

Anonymous said...

Anonymous wa Aug 25 at 9:40 AM Judge lini amewatoa baruti ? Nimesoma sehemu ya ile court paper hapa Vijimambo sijaona sentence hiyo ya kutolewa baruti.Nimesoma Judge kuona complaints and affidavits kutokuwa satisfied.Lets put record straight.

Anonymous said...

Ignorant.ameanguka Nani? Wote wamepata over 50% au hujuwi hata hilo? Acheni.mahakama iwateguwe udhu.