Advertisements

Saturday, August 30, 2014

SOUTHERN AFRCAN FASHION SHOW YAVUTIA WENGI

Mmoja ya wageni waliokuja kwenye Southern African Fashion Show iliyofanyika siku ya Ijumaa Aug 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani akipita kwenye banda la Mtanzania Brenda Dornovil kutoka Massachusetts anayetengeneza mafuta ya nywele yajulikanayo kama T444Z HAIR FOOD ambaye amekuja maalum kwa ajili ya Miss Tanzania USA Pageant ambayo itafanyika leo Jumamosi Aug 30, 2014.
 Mtanzania mwingine wa mitindo toka North Carolina Lilian Danieli mmiliki wa NASHONA ambaye pia ngua zake zilikuwemo kwenye maonesho ya mavazi ya nchi kusini mwa Africa (Southern African Fashion Show) iliyofanyika Ijumaa Aug 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mwandishi wa kitabu cha Nyao za Obama Bwn. Safari Ohumay akiwa katika picha ya pamoja na mke wake (kulia) na mmoja ya wahudhuriaji kwenye onyesho la mavazi kutoka nchi za kusini mwa Afrika ambaye pia ni Mtanzania.
 Lilian Daniel katika picha ya pamoja na wadau waliotembelea banda lake ambao ni mke na mume. Mke ni Mtanzania na mume ni kutoka Afrika Kusini.



No comments: