Advertisements

Saturday, August 30, 2014

LILIAN DANIELI MBUNIFU WA NASHONA KUTOKA NORTH CAROLINA ANG'ARA KWENYE SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW

Lilian Danieli kutoka North Carolina nchini Marekani mmoja wa Watanzania waliowakilisha kwenye maonesho ya mavazi ya nchi za kusini mwa Afrika na ubunifu wake kutoka NASHONA hapa akijitambulisha kwa kutembea kwenye jukwaa huku akisalimia mashabiki wa mavazi waliojitokeza kwa wingi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: