Advertisements

Saturday, August 30, 2014

KALI TV NAO WAPATA MATUKIO YA HAPA NA PALE KWENYE SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW

 Kali TV wakimfanyia mmoja wa wabunifu wa mitindo kutoka DRC Bi. Sifa mara tu baada ya kumalifa kufanya show yake ya mavazi.
 Kali TV wakifanya mahojiano na mmoja wa waratibu wa Southern African Fashion Show iliyofanyika siku ya Ijumaa na kuwavutia wengi kutoka nchi kusini mwa Africa ikiwemo wakiwemo wabunifu wawili Watanzania
Kali TV wakifanya mahojiano na mmoja ya wahudhuriaji wa onesho hilo la mavazi lililofanyika siku ya Ijumaa Aug 29, 2014  Sliver Spring, Maryland nchini Marekani.

No comments: