Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

WIMBO WANGU WA LEO

1 comment:

Anonymous said...

wimbo mzuri sana,midundo mizuri na mashairi pia yameka vizuri na viuno poa nimeupenda nimeburudika na nafsi yangu katika siku ya eid.
ila ninachojiuliza hivi kweli kuna mapenzi kama haya,kweli watu kupendana hivi ninavyoona mimi wanawake mara nyinhi wanawasifia na kuwatetea na kuwaringia wanawake wenzao kwa kupata mwanamme wanayekula goodtime pamoja.
sifa zinakuwa nyingi sana kutoka kwa wanawake wanapokuwa na huyo mume wakati wanapokuwa katika mahaba makali kikiwaka hao wanatimuka kama wao sio.
hivi kweli ni haki?
kwanini watu wasiishi kikweli/reality katika maisha yao yote kama nyimbo inavyoonyesha.