Advertisements

Wednesday, July 23, 2014

WEMA SEPETU SASA AJUTA KUTUMIA MKOROGO... AELEZA KILICHOMTOKEA, INASIKITISHA SANA

MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka.
Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo lingekuwa kubwa, kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake. 
“Ulianza muwasho, kikawa kipele kisha kikageuka kama kishilingi. 
Nilipokwenda hospitali nilipewa dawa ya crime ya kupaka, mimi nikachua eneo lililoathirika, kumbe ndiyo nikawa nasababisha matatizo, kukavimba zaidi kama unavyoona,” alisema Wema ambaye alikataa kupigwa picha.

4 comments:

Anonymous said...

Pole sister. Kuchamba kwingi huko. Black color is a unique treasure. A symbol of African people.

Anonymous said...

Wako wengi wanaojichubua sio yete tu,nimefurahi umekuwa mkweli kwa wengine wapenda weupe wajifunze
1:weupe sio uzuri wa mwanamke
2:unajijuwa sio rangi yako,tunajuwa sio rangi yako sasa inafaida gani .unamdanganya nani zaidi ya wewe
3 watu wasio jiamini kwenye maisha ndio wanaojichubua
4:plastic look ukipaka mikorogo hupendezi ila hamjijuwi
5:cancer
6God knows ni majanga tu

Anonymous said...

Hata hapa dc pia wapo wanaojibabua ....tunawajuwa, wanataka wafanane na mimi,jamani mimi mkorogo free natural.jifubzeni kutoka kwa wema

Anonymous said...

mtu usijipojisamini rangi yako,kabila lako na jinsi yako ukawa na low self esteem matokeo ndo hayo, kwani vyote vingaavyo ni dhahabu au almasi.
kila mtu siku hizi anataka kuwaa muarabu au muhindi kwa rangi na nywele balaa tupuuuuu.
mungu alivyokuumba unadhani kakosea.