Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

PICHA ZINGINE SHEREHE YA EID DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani akiwa meza kuu pamoja na viongozi wa TAMCO kutoka kushoto ni Jasmine Rubama, Asha Hariz na kulia ni Afisa Ubalozi Abbas Missana.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiongea na Watanzania waliojumuika kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao.
 Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani akijipatia chochote alipojumuika na Watanzania wa DMV na marafiki zao katika sherehe ya sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumatatu July 28, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani.
 Afisa Ubalozi Abbas Missana akijipatia chochote nyuma yake ni Seif Ameir katika sherehe ya sikukuu ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani.
Wakina mama Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika siku ya Jumatatu July 28, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani.
Picha zaote kwa hisani ya Seif Ameir.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



2 comments:

Anonymous said...

Allah akubarik sana dj luke na all the vijimambo team kwa kutuletea picha hizi za eid,za kuwaona ndugu,jamaa na marafiki zetu.

Anonymous said...

eid mubarak to All the muslim all over the world, mashallah mmependeza sana watu wa dmv na wa new york.daima muwe kitu kimoja na kuithamini dini yenu na kuyafuata Allah anayoyataka na kuyaepuka asiiyoyataka.amen.