Advertisements

Saturday, July 19, 2014

MWANAMUZIKI MAARUFU NCHINI AMEFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE ULIOPITA!!



Mwanamuziki mwenye sauti tamu wa bendi ya FM Academia aka Wazee Wa Ngwasuma aitwae Digital amefariki dunia muda mfupi alipokuwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili jijini Dar, awali tangu wiki iliyopita alikimbizwa hospitali ya Mwananyamala baada ya kuzidiwa na maradhi, na chanzo cha kifo chake hakijaelezwa! poleni FM Academia, ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu.
Mungu amlaze mahala pema peponi ameni. 
Credit:TheChoice

No comments: