Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAPATA WANACHAMA WAPYA WA KUNDI LA WASANII WA FILAMU.

Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukanazima akimkabidhi kadi msanii nguli wa filamu mzee Chilo.
Issa Musa ,'Cloud' akipokea kadi yake ya uanachama kutoka kwa Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF.
...Fatuma Makongoro, 'Bi. Mwenda' naye akijiunga.
...Jackline Pentezel ,'Jack wa Chuzi' akipokea kadi ya uanachama.
...Hali kadhalika Haji Adam,' Baba Haji' akikabidhiwa kadi ya uanachama.
Blandina Chagula,' Johari' akikadidhiwa kadi ya uanachama.
'Johari' akionyesha kadi yake kwa wenzie kwenye semina maalumu iliyoambatana na futari ikiwalenga wasanii wa filamu ndani ya hotel ya blue pearl.

No comments: