Advertisements

Thursday, July 31, 2014

HATARI SANA: WEMA SEPETU AANIKA UGOMVI WAKE NA MAMA’KE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akiwa na mama yake.


Na Waandishi Wetu
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa.
CREDIT:THECHOICE

5 comments:

Anonymous said...

You should obey your mom Wema. Remember mom always knows the best. All the best in your love life girl. If you're happy we're all happy for you gorgeous.

Anonymous said...

wema ndo nani huko Tanzania!!!! anaonekana anaishi maisha ya kucopy na kupaste

Anonymous said...

Salsa hii ndo news gani jamani mnaweka kichwa cha Habari kiziito then hamna news uki click read more unakuta picture ya ufashionista. Wema hana mpya anatafuta kuwa kwenye news lakini hana news what is this nonsense . Hii habari au anaweka photos internate .

Anonymous said...

Mie nataka hicho Wema anachopaka Usoni! Hayo mengine hayanihusuuu kabisa. Asanteni.

Anonymous said...

asiye sikia la mkuu huvunjika guu mama kishamuona si mume si lolote huyo diamond wako kuna siku utakuja kumbumbuka mama yako,wewe jifanye kichwa maji hivi sana na kijifanya kujua sana mapenzi wazee huwa wanaonaga mbali shauri yako wema na ushamba wako.
ila tunakutakia la kheir lakini usimdharau mama yako kama hamtaki diamond basi nawewe umfuate because ndo yeye kupitia kwa mungu ndo aliyekuleta hapa duniani na si diamond.
na mama diamond kama hakutaki na yeye pia kaona humfai mwanawe na yeye mama diamond do yeye aliyemleta diamond duniani kupitia kwa mungu.
muache ushamba na ushambenga wenu muwasikilize mama zenu mupate kupata radhi za mama zenu