VIDEO YA RAIS KIKWETE AKIONGELEA WANAOWASEMA VIBAYA KARUME NA NYERERE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongelea wanaowasema vibaya waasisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Abeid Aman Karume na Julius Kambarage Nyerere wakati wa mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam April 15, 2014
No comments:
Post a Comment