Advertisements

Tuesday, April 22, 2014

POLISI WA GERMAN KUTUMIA MAYAI NA MIPIRA YA TENNIS JITIRIRISHE HAPA

Gari  maalumu kwa polisi huko German lililo thamani ya Euro 740,000 kwa gari moja, napia litakuwa na uzito wa tons 33. Serikali ya German imeagiza magari 78 aina hii yatakayo sambazwa nchi nzima. Kazi ya magari hayo ni kurusha mayai na mipira ya tennis kurudisha nyuma au vunja maandamano yatakayohatarisha amani (Riot proof). Serikali imeamua kutumia mayai na mipira na siyo maji kwani kutumia maji ni kuharibu pesa za serikali. Ni bora watumie mayai na mipira kwani ghalama zake siyo kubwa kama kutumia maji.
Pia msemaji wapolisi amesema kutumia mayai na mipira hakutasababisha majeraha kwa watu na pia ni salama zaidi kuliko kutumia vifaa vya kujeruhi.
Maji yaliyokuwa yanatumiwa kutawanya watu na serikali kuona huu ni uharibifu wa maji na pesa za seriakali.
Mayai yatakuwa na toka kama hivi mtu akitoka hapo akifika nyumbani anajitengeneza mwenyewe chips mayai kwani rojo la mayai atakuwanalo kwenye nguo zake mwenyewe.

No comments: