Advertisements

Sunday, April 13, 2014

[photo, video update] Dar es Salaam lilivyojaa maji!

Video ya wakazi wa Jangwani walivyohamia kwenye vituo vya mabasi yaendayo haraka kwa ajili ya kujihifadhi na picha zaidi za maeneo mbalimbali yalivyojaa maji, zimepachikwa hapo chini...

Mbezi Beach

Tegeta

Afrika Sana, Sinza





Nyumba hii iliyopo eneo la Tabata-Mwananchi. (picha: Dei Misana)

Nyumba hii ipo eneo la jangwani jijini Dar es Salaam. (picha: Dei Misana)

(picha: Dei Misana)

(picha: Dei Misana)

Hapa wakijaribu kuokoa baadhi ya mali zao zilizokumbwa na mafuriko. (picha: Dei Misana)
Jangwani





Wakazi wa mabondeni ambao nyumba zao zimefunikwa na maji wakiwa wamejisitiri katika kituo cha mabasi yaendayo haraka ambacho hakijaisha katika eneo la Jangwani, barabara ya Morogoro

Kituo hiki cha mabasi yaendayo haraka kimegeuka kambi ya waathirika wa mafuriko. Watu hawa walinishambulia kwa kipigo pamoja na kunipora baadhi ya vitu nilivyokua navyo mara walipobaini kuwa nawapiga picha. (picha: Dei Misana)
Eneo la Jangwani barabara ya Morogoro

Nyumba zilizoko eneo la Jangwani, Manispaa ya Ilala pembezoni mwa barabara ya Morogoro, zikiwa zimezama katika maji. Baadhi ya nyumba kama zinavyoonekana bado umeme unawaka, kitu ambacho ni hatari.

2 comments:

Anonymous said...

Je, kuna fundisho lolote tunalolipata kutokana na majanga haya?

Anonymous said...

Hakuna fundisho lolote ndugu yangu tulilolipata hapa zaidi ya kulaumiana. Life will go on kama kawaida maji yakukauka. Hamna lolote litakalofanyika. It is so sad.